burhan6196
Member
- Aug 23, 2018
- 65
- 84
Unachukulia wapi? Unauzaje kwa lita?Habari za muda huu;
Nilikua naomba details za masoko ya maziwa dar.
Nimepata connection ambayo inaweza ikanipa ltr 200+ za maziwa daily lakini bado sijapajua wapi naweza pata soko la ku push supply yote hio kila siku.
Katika reserch yangu nimegundua kua kuna soko kubwa la maziwa lililopo "ubungo maziwa" lakini bado sijapata details zake kamili kama bei?muda?aina ya uuzaji?masharti ya kuuza hapo maziwa?demand yake?
Mwenye detailz za hilo soko naziomba tafadhali au hata kma kuna soko jengne lenye demand kubwa ya kuweza ku supply ltr 200+ naomba details.
Shukran
Ltr reja reja 2000Unachukulia wapi? Unauzaje kwa lita?
Hamna regulations zozote?Walikua wanauzia pale sheli ya ubungo mataa Ila siku hizi nasikia wanauzia njia panda ya chuo (Sina uhakika)
Nenda Mitaa hiyo alfajiri
Demand ya kuuza ltr 200 kila siku ipo?Bei ni 1200 ubungo
Demand ya kuuza ltr 200 kila siku ipo?
Wanapatikana wapi?Unataka fanya biashara bila jua soko?
Ndio sasa ni msimu wa maziwa mengi maana majani yamejaa tele....
Kama hayajachakachuliwa, hayana mastitis. ....
Hayajatoka kwenye ngombe mwenye sindano.... peleka DarFresh
hao wapo gugo mkuuWanapatikana wapi?
dar fresh wananunua kwa bei gani ..??Unataka fanya biashara bila jua soko?
Ndio sasa ni msimu wa maziwa mengi maana majani yamejaa tele....
Kama hayajachakachuliwa, hayana mastitis. ....
Hayajatoka kwenye ngombe mwenye sindano.... peleka DarFresh
dar fresh wananunua kwa bei gani ..??
Mkuu nahitaji maziwa, unapatikana wapi?Habari za muda huu;
Nilikua naomba details za masoko ya maziwa dar.
Nimepata connection ambayo inaweza ikanipa ltr 200+ za maziwa daily lakini bado sijapajua wapi naweza pata soko la ku push supply yote hio kila siku.
Katika reserch yangu nimegundua kua kuna soko kubwa la maziwa lililopo "ubungo maziwa" lakini bado sijapata details zake kamili kama bei?muda?aina ya uuzaji?masharti ya kuuza hapo maziwa?demand yake?
Mwenye detailz za hilo soko naziomba tafadhali au hata kma kuna soko jengne lenye demand kubwa ya kuweza ku supply ltr 200+ naomba details.
Shukran
Bado unahitaji maziwa fresh ng'ombe wa kienyeji?ninayo nipo dar 0767440210Mkuu nahitaji maziwa, unapatikana wapi?