Msaada: Natafuta soko la maziwa

Msaada: Natafuta soko la maziwa

burhan6196

Member
Joined
Aug 23, 2018
Posts
65
Reaction score
84
Habari za muda huu;
Nilikua naomba details za masoko ya maziwa dar.
Nimepata connection ambayo inaweza ikanipa ltr 200+ za maziwa daily lakini bado sijapajua wapi naweza pata soko la ku push supply yote hio kila siku.
Katika reserch yangu nimegundua kua kuna soko kubwa la maziwa lililopo "ubungo maziwa" lakini bado sijapata details zake kamili kama bei?muda?aina ya uuzaji?masharti ya kuuza hapo maziwa?demand yake?
Mwenye detailz za hilo soko naziomba tafadhali au hata kma kuna soko jengne lenye demand kubwa ya kuweza ku supply ltr 200+ naomba details.

Shukran
 
Unachukulia wapi? Unauzaje kwa lita?
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Walikua wanauzia pale sheli ya ubungo mataa Ila siku hizi nasikia wanauzia njia panda ya chuo (Sina uhakika)

Nenda Mitaa hiyo alfajiri
 
Pitia kwenye restaurants kubwa kubwa, mahotelini, shule za bweni(sana sana private) n.k uombe tenda ya kusupply bidhaa yako
 
Unataka fanya biashara bila jua soko?
Ndio sasa ni msimu wa maziwa mengi maana majani yamejaa tele....

Kama hayajachakachuliwa, hayana mastitis. ....
Hayajatoka kwenye ngombe mwenye sindano.... peleka DarFresh
Wanapatikana wapi?
 
dar fresh wananunua kwa bei gani ..??
 
Habari za muda huu;
Nilikua naomba details za masoko ya maziwa dar.
Nimepata connection ambayo inaweza ikanipa ltr 200+ za maziwa daily lakini bado sijapajua wapi naweza pata soko la ku push supply yote hio kila siku.
Katika reserch yangu nimegundua kua kuna soko kubwa la maziwa lililopo "ubungo maziwa" lakini bado sijapata details zake kamili kama bei?muda?aina ya uuzaji?masharti ya kuuza hapo maziwa?demand yake?
Mwenye detailz za hilo soko naziomba tafadhali au hata kma kuna soko jengne lenye demand kubwa ya kuweza ku supply ltr 200+ naomba details.

Shukran
Mkuu nahitaji maziwa, unapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom