Msaada; Natafuta perfume yenye harufu nzuri

Uturi wa Manara umeonyesha kukidhi haja ya wanuka vikwapa
[emoji23][emoji1787]
 
ke- olympea
me- invictus
ukitaka og bei zimesimama ila copy pia zipo 25k
 
Kiwango changu mwisho 20k.
Kanunue blue for men 18k, Active man 13k single au double inakua na body spray yake ni 15k.

Au kuna hizo brand za paris huko ulizotajiwa zipo wanaouza za kupima, unapata kwa 30k mpaka 40k zinakua in 40mls unanukia mpaka wiki ijayo. Kuna hizo hizo brand ulizotajiwa unapata copy za dubai (mini crystals) in 25ml kwa 15k mpaka 25k. Bei inategemea unaponunulia.
 
Pambana na hali yako
 
Kuna mafogo wana mipesa humu!

Pafyumu laki saba mtaji wa genge langu!

Astaghafirulah!
 
Naomba uwe mshauri wangu Nitajie moja tu unayo ikubali wewe nikainunue.
 
Naomba uwe mshauri wangu Nitajie moja tu unayo ikubali wewe nikainunue.
Hahaha naweza nisiwe mshauri mzuri. Best way ya kununua perfume ni kwenda dukani. Nusa nusa mpaka upoteze muelekeo[emoji16][emoji23]. Baada ya kupoteza muelekeo chukua yoyote katika ulizonusa nusa. Ikiisha hiyo kanunue nyingine sio ile ya mara ya kwanza, fanya hivo kama mara tatu au nne. Katika hizo nne ulizotumia tofauti utapata ambayo kwako ni best.

Na mimi sina signature perfume. Napenda kununua sana za kupima kwahiyo naenda nanusa nusa baada ya kupoteza muelekeo nachukua yoyote.
Ila black opium naipenda zaidi. And I think ni unisex anaeza akatumia yoyote.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…