Msaada: Natafuta nafasi ya nursing chuo cha Mirembe

Good Neighbour

JF-Expert Member
Jul 12, 2017
942
896
Habari

Naombeni msaada kwa yeyote anayejua utaratibu au anaweza nisaidia kupata nafasi chuo cha Mirembe Dodoma kwa kozi ya nursing ukilinganisha na muda kama umekwenda.

Asante
0767833496
0622111186
 
Ulikuwa wapi mkuu muda wote Huo..!!!
Anyway itakuwa vizuri ukiwasiliana na chuo husika
 
Back
Top Bottom