Msaada: Natafuta mchanga wa plasta

Msaada: Natafuta mchanga wa plasta

Software Engineer

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2014
Posts
344
Reaction score
137
Wadau natafuta mchanga mlaini kwa ajili ya kupiga plasta kwenye nyumba.

Kwa anayefahamu dereva au mahali unapopatikana anifahamishe tafadhali.

Nipo jijini Dar es Salaam.
 
Kwamba kwenye nyumba hutaki kufanya Skiming au nn?

Kuwa makini kwenye kutafuta mchanga laini maana unaweza ambulia vumbi ambalo hata sementi haishiki. Anyway, upo maeneo gani dar?
 
Skiming hazifai ni uzuri wa muda mfupi.
Kwasasa tunatumia mashine maalum ya kulainisha ukuta then rangi
Kwamba kwenye nyumba hutaki kufanya Skiming au nn?

Kuwa makini kwenye kutafuta mchanga laini maana unaweza ambulia vumbi ambalo hata sementi haishiki. Anyway, upo maeneo gani dar?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mrangi Kwenye kokoto wanauza kwa "Cubic Metre". Nawezaje kujua kipimo sahihi cha "Cubic Metre" pale kijiko kinachota na kupakia kokoto kwenye gari?
Njia nzuri ni kupima bodi ya gari ikiwa empty( urefu*upana*kimo) utajua gari inabeba cubic metre ngapi au pima volume ya hiyo bucket ya kijiko wanachopakilia
 
Kwenye kokoto wanauza kwa "Cubic Metre". Nawezaje kujua kipimo sahihi cha "Cubic Metre" pale kijiko kinachota na kupakia kokoto kwenye gari?
Cubic meter ni ujazo... kwenye hilo bodi la gari linalopakia, chukua urefu in meters, zidisha na upana in meter, then unachokipata kizidishe kwa kina cha bodi in meters... jibu utakalopata ndiyo cubic meters. Kama kokoto zimejaa nusu au robo, bima mpaka zinapoishia kokoto then uzidishe kama nilivuoeleza hapo juu...assumption ni kwamba kokoto zipo flat pale juu zinapoishia
 
Back
Top Bottom