Habari ya leo Wadau?
Nakuja kwenu kuomba anayefahamu anielekeze mahali ninakoweza kupata mbegu ya mpunga itwayo KOMBOKA, au nyingine yoyote ya kisasa/chotara (hybrid) ambayo ninataka kuitumia kwa msimu huu unaokuja wa kilimo cha Mpunga.
Natanguliza shukurani zangu kwenu.