Wah..Nimenunua TV haijamaliza hata Mwaka , imedodonka kutoka mezani hivyo kioo kikacrack na hivyo huwezi kuon oicha kwani inaonyeshwa kunawino umevilia. je kunauwezekano wowote wakuirehekebisha ikarudi kama kawaida? Je nifanye kufanikiwa shida yangu.
Asante
Asante