Msaada natafuta kazi

Jicholamwewe

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2021
Posts
374
Reaction score
470
Wakuu habari? Nahitaji msaada wa kazi.yeyote anayefaham kazi ilipo naomba aniambie.Nina ujuzi wa laboratory ,QC pia kazi yoyote nitafanya.hapo chini ni part ya CV yangu pamoja na certificate training .asanteni sana
 
Ushauri wa bure, andaa vizuri hiyo CV vizuri, weka taarifa kamili taarifa zako binafsi, historia ya elimu zako nyuma,, weka resposibilities zako, an finally check for grammar and corrections.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…