dynnalovee
Member
- Nov 12, 2016
- 11
- 14
Za asubuhi wapendwa. Mimi ni msichana Nina miaka 24 naishi dar es salaam. Natafuta kazi sehemu yeyote mijini au kijijini pote nipo tayari kufanya.
Ninaomba msaada wenu. Nimekaa nyumbani nimechoka na mtu akisema nijiajiri napenda sana kujiajiri lakini suala la kujiajiri nalo linahitaji pesa.
Kwa sasa hata hela ya kuishi nawaza. Najua huku kuna mawaziri wakurugenzi, na hata watu wenye makampuni naombeni mnisaidie Mimi mwanenu. Nahitaji kazi yeyote sichagui kutokana na elimu yangu ilimradi nipate pa kuponea. Asanteni na mbarikiwe