chaUkucha
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,382
- 1,220
Unatafuta nini sasa?na mimi natafuta jamani
Unatafuta nini sasa?na mimi natafuta jamani
Helw, ni wengi wenye changamoto kama yakwako, nipo Dar es salaam, nitafte nikupe idea/nikushirikishe fursa, then utafanya maamuzi mwenyewe kama utaweza tuchape kazi. call/text/whatsapp 0688462006ume-generalise mno itakuwa shida kwa mtu mwenye nia njema kukusaidia.
Taja sifa zako hata kama huchagui kazi..elimu yako, skills, na vingine ambavyo unahisi vinaweza kukupa edge kwenye kupata kazi (lugha).
Usikate tamaa hadi kuandika.
Asanten kwa kunisaidia kumjibu manake nilikosa hata nimjibuje ikabidi ninyamaze tuuuKuna mambo ya utani na yasiyo ya utani![]()
Za asubuhi wapendwa. Mimi ni msichana Nina miaka 24 naishi dar es salaam. Natafuta kazi sehemu yeyote mijini au kijijini pote nipo tayari kufanya. Ninaomba msaada wenu. Nimekaa nyumbani nimechoka na mtu akisema nijiajiri napenda sana kujiajiri lakini suala la kujiajiri nalo linahitaji pesa. Kwa sasa hata hela ya kuishi nawaza. Najua huku kuna mawaziri wakurugenzi, na hata watu wenye makampuni naombeni mnisaidie Mimi mwanenu. Nahitaji kazi yeyote sichagui kutokana na elimu yangu ilimradi nipate pa kuponea. Asanteni na mbarikiwe
Tatizo la watanzania wa Leo hamuwezi kusaidia bila kuomba rushwaTuwasiliane binti kama utakuwa hujapata kazi. Nitakuunganisha mahali utapatiwa huduma ya kutafutiwa kazi bila hofu kabisa. Ni mahali mie nimepatiwa huduma na ninafanya kazi. Namba yangu ni 0786187408.