MOMPRENEUR
Senior Member
- Jun 18, 2016
- 193
- 127
Mkuu wewe ni Bashite?Habari wakuu,Humu jf nadhani kuna maboss humu na waajiri mbalimbali hivo nachukua nafasi hii kuomba msaada wa kupewa kazi itayonipatia kipato cha halali.
Umri wangu ni miaka 25 na kiwango changu cha elimu ni stashahada(Bachelor degree).
Napatikana Dar es salaam        .
Nimekosea kuandika mkuu.AhsanteStashahada (Bachelor degree)
Nijuavyo Stashahada ni Diploma
Shahada ni Degree
Edit post yako kabla hawajaja.
Sio mbaya watakuja wahitaji wa wafanyakazi watakupa.
Hapana siwezi kuwa bashite.Ni makosa tu ya kiuandishiMkuu wewe ni Bashite?
Nimekosea kuandika mkuu.Ahsante
shahada ya elimuHujui hata kujieleza bachelor ya nini? kama mimi nahitaji Dr wa Mifugo? Mkuu kweli wewe una bacholor?
Mkuu jifunze kujieleza hata kwa kifupi basi, ukiwa na bachelor maanake ni msomi.Hapana siwezi kuwa bashite.Ni makosa tu ya kiuandishi
Poashahada ya elimu
NdiyoWakuu jamaa kaomba Assist hapo, tumuangalie kwa jicho la tatu aweze kupata cha kuingiza kinywani
Amesema ya elimu labda anamaanisha ya ualimuHujui hata kujieleza bachelor ya nini? kama mimi nahitaji Dr wa Mifugo? Mkuu kweli wewe una bacholor?