Msaada: Natafuta kazi yoyote

Msaada: Natafuta kazi yoyote

MOMPRENEUR

Senior Member
Joined
Jun 18, 2016
Posts
193
Reaction score
127
Habari wakuu,

Humu JF nadhani kuna maboss humu na waajiri mbalimbali hivyo nachukua nafasi hii kuomba msaada wa kupewa kazi yoyote itayonipatia kipato cha halali.

Umri wangu ni miaka 25 na kiwango changu cha elimu ni shahada (Bachelor degree) ya elimu. Napatikana Dar es Salaam.
 
Stashahada (Bachelor degree)

Nijuavyo Stashahada ni Diploma
Shahada ni Degree

Edit post yako kabla hawajaja.
Sio mbaya watakuja wahitaji wa wafanyakazi watakupa.
 
Habari wakuu,Humu jf nadhani kuna maboss humu na waajiri mbalimbali hivo nachukua nafasi hii kuomba msaada wa kupewa kazi itayonipatia kipato cha halali.
Umri wangu ni miaka 25 na kiwango changu cha elimu ni stashahada(Bachelor degree).
Napatikana Dar es salaam        .
Mkuu wewe ni Bashite?
 
Hujui hata kujieleza bachelor ya nini? kama mimi nahitaji Dr wa Mifugo? Mkuu kweli wewe una bacholor?
 
Wakuu jamaa kaomba Assist hapo, tumuangalie kwa jicho la tatu aweze kupata cha kuingiza kinywani
 
Back
Top Bottom