Msaada, natafuta kazi yoyote halali

Msaada, natafuta kazi yoyote halali

jitwangabalogi

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2018
Posts
480
Reaction score
638
Kwema ndugu zangu, mwenye connection ya kazi yeyote hata ya mda mfupi naomba anisaidie!

Elimu, Diploma (education)
Makazi, Dar es Salaam
Tel no, 0748786954
Shukran!
 
Vijana mna shida sana yaani hata kujielezea unaona uvivu kazi utaweza kweli ww education ndio nini hata kama ni science au arts pia ungefafanua kuna masomo mengi kama chemistry biology kiswahili na history kila la kheri.
 
Sasa hayo ulikuwa unasoma ili ukue au yakusaidie maisha au kujipotezea muda? Ona sasa ungeingia mtaani mapema ungekuwa mzoefu wa kitaa
 
Back
Top Bottom