Msaada: Natafuta Joining instructions ya Masasi Clinical officers

Msaada: Natafuta Joining instructions ya Masasi Clinical officers

Joined
Oct 14, 2015
Posts
87
Reaction score
18
Msaada joining instructions ya masasi clinical officers nimechaguliwa course ya clinical medicine
 
Jamani, hivi mtu aliye somea certificate in
community health ataruhusiwa kusomea
diploma ya clinical medicine? au
ataruhusiwa kusomea certificate ya clinical
medicine?
 
Jamani, hivi mtu aliye somea certificate in
community health ataruhusiwa kusomea
diploma ya clinical medicine? au
ataruhusiwa kusomea certificate ya clinical
medicine?
We jamaa king'ang'anizi kweli !!
Jibu ni haiwezekani na haitakaa iwezekane..
Hata ukisema certificate ya environmental health (majukumu ya kazi yanaendana) na penyewe haiwezekani.

NOTE: kama kweli una malengo ya kusoma clinical medicine ngazi yoyote ile....Nakushauri rudia mtihani wa kidato cha nne na hakikisha unafahulu PCB katika kikao kimoja cha mtihani(usiunganishe vyeti).

Nimekujibu kwa sababu umeuliza karibia kila thread na watu walishakujibu ila HUSIKII
 
Jamani, hivi mtu aliye somea certificate in
community health ataruhusiwa kusomea
diploma ya clinical medicine? au
ataruhusiwa kusomea certificate ya clinical
medicine?
Tatizo ulivyoingia hiyo kozi hukujiuliza mbeleni itakuwaje, unasoma tu! by the way hutaweza kusoma C/medicine ngazi ya cheti bila kufaulu PCB kwa kiwango cha pass na kuendelea
 
Back
Top Bottom