Asante mkuu.kama wewe pia ni mdau wa facebook basi nenda kule mtafute huyu mdau {Ammy Mwakitalu} atakusaidia manake naona huwa anapost sana gari za kuuza za bei tofauti tofauti ama kama vyepi mcheki kwenye number hizi 0716844309 au 0753559582
kila la heri
We uko wapi mkuuAsante mkuu.
Bdo natafuta ingawa kuna mdau mmoja wa Mwanza ameniPM ila bado hatujafikia mwafaka.
Naomba picha mkuu.Mkuu kuna mtu ana mitsubishi montero sports bei ndio hiyo hiyo suv ila Manually gear ila hali yako ni bomba sana haijumika sana
anataka Gari aina ya carMkuu hungesema hata aina ya gari unayotaka ata mtu akikwambia anataka kitanda cha milele utamuuliza aina gan?
Nenda fb search Magari Sokoni Showroom.Amani kwenu,
Binafsi namshukuru Mungu ameendelea kunijaalia mafanikio makubwa katika hii biashara yangu ya vile vitanda vya moja kwa moja(majeneza)
Sasa nimekusanya kiasi cha pesa sh milioni 7 cash
Naomba kwa anayeweza kuniuzia gari ndogo ya bei hiyo tuwacliane pm kwa mawasiliano na picha za gari hilo.
Liwe ktk hali nzuri na lisilokula mafuta sana.
Karibuni sana.