Ni kweli mkuu. nilijaribu kwenda kwa dealer wa LG gharama za kioo kipya inakaribiana na gharama ya kununua TV nyingine mpya.Du! Mkuu hiyo kitu kama uko vizuri mfukoni ungetafuta tu nyingine, maana mafundi wake ni vigumu sana kuwapata!
TV yangu aina ya LG nchi 42 LCD imepasuka kioo.
Kwa yeyote anayemfahamu fundi mzuri wa flat screen TV naomba anielekeze anapopatikana.
Au yeyote ambaye ana screen ya kufanya replacement tafadhali naomba ani'PM tufanye biashara.
Natanguliza shukrani.
Ni kweli mkuu. nilijaribu kwenda kwa dealer wa LG gharama za kioo kipya inakaribiana na gharama ya kununua TV nyingine mpya.
Thnx mkuu,najua huo mtaaKwa Dar, anapatikana (jina la mtaa nimelisahau) karibia na tawi la bank ya NBC tawi la kichwele, near police post.
Nenda kinondoni b karibu na pazi bar mtafute eddy anauza madish ni fundi mzuri sana mimi nilihangaika akanisaidia sana
pazi bar maeneo gani haswa
Naomba namba zakeNenda kinondoni b karibu na pazi bar mtafute eddy anauza madish ni fundi mzuri sana mimi nilihangaika akanisaidia sana