Nimeunganisha scanner ya epson 010F kwenye komputa niweze kuscan, ikatuma ujumbe kwanba niweke cd ili iweze kufanya installation. Sina hiyo cd, nimejaribu kutafuta kama kwenye websiye ya epson kama wanayo hii driver lakini haipo. Hivyo kama unaweza kusaidia nitashukuru sana ili iweze kufanya kazi.