Msaada: Natafuta chuo kinachotoa course ya post graduate diploma in pharmacy

charles ogopa tapeli

Senior Member
Jul 15, 2013
122
49
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam, naombeni msaada wenu wanajamvi kwa yeyote anayejua kozi ya 'Post Graduate diploma in pharmacy' ama inayohusiana na hiyo anisaidie, niweze anza maisha mengine mapya ya elimu.

Nategemea ushirikiano positive kutoka kwenu wana jamvi.
 
Mkuu hapa umetuchapia hizi course zipo duniani-just google. Issue ni kuwa nilizo ona zinataka uwe tayari na degree ya pharmacy.
ARE YOU SERIOUS UWE NA DEGREE YA PHARMACY HALAFU UKASOME POSTGRADUATE DIPLOMA...
 
Mkuu hapa umetuchapia hizi course zipo duniani-just google. Issue ni kuwa nilizo ona zinataka uwe tayari na degree ya pharmacy.
Zipo nyingi sana zaidi ya 4323 kwa duniani ila Tanzania nadhan hakuna.
Asante sana kwa mchango wako mwanajamvi
 
Post graduate diploma ya pharmacy kwa Tanzania hakuna. kama wewe ni BSc holder majoring in Chem&Bio with lower second class or above, unaweza ku-apply Bpharm through equivalent qualifiaction entry Chuo chochote hapa Tanzania kinacho-offer degeree ya pharmacy lakini unaanza upya mwaka wa kwanza.
 
Back
Top Bottom