Habari zenu wapendwa naitaji kujua ni chuo kipi kinatoa kozi nzuri ya diploma ya pharmacy kati ya Kiu, royal na st john cha Dodoma.