Msaada:natafta shule ya kuhamia yenye combination ya PCB

Joined
Jan 22, 2019
Posts
88
Reaction score
73
Wakuu, samahani kwa usumbufu
Mdogo wangu kafaulu vizuri physics 'c' chemistry 'B' na biology 'B' bahati mbaya amepangiwa comb ya CBG tena kwenye shule ambayo haina PCB ambayo ndio ndoto yake
Kwa hiyo ninaomba wakuu wajuvi wa haya mambo(maana mimi siyo mzuri sana) mnisaidie shule nzuri anayoweza kuhamia (A'level school) nzuri yenye PCB

Pia kama nilivotangulia kusema kwamba mimi siyo mzuri sana,
naomba mnisaidie hata hatua za kufuata ili kukamilisha uhamisho huo
Dogo kapangiwa lufilyo sec school, busokelo dc, Mbeya
Naombeni msaada wenu, Natanguliza shukurani
 
Huluhusiwiii kubadilisha shule mpaka palee mwaka wakwanza utakapo ishaaaaa

Back
Top Bottom