Msaada nat router configuration

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
516
Wadau naomba msaada wa kurekebisha nat router configuration recently nimeinstall software ya bitcomet kwaajili ya kudown load movies na kwasasa software hii inasifika kwa spidi katika kudownload movies,, ila nikiwa nadownload inaniambia speed may not be very fast check ur nat router configuration na kweli inaweza kuchukua usiku mzima inadownload movie ya mb 600!!Software hii inapatikana kwa urahisi tu ukiingia www.apphit.com.Tafadhali naomba msaada
 

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,593
434
mkuu hebu nijuze kwanza haya machache....

Ni Router ya home au kazini?
Kama ni ya kazini Wewe ndo Network Admin?
Ni aina gani ya Router unatumia?

Ni kweli inawezeka kwenye Router ukalimit downloading size....so inawezekana Router unayotumia imebanwa....kama una uhakuka na speed ya connection yako.

Yapo mengi unaweza kupata kwenye google kwa kusearch router unayotumia...
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom