Travis_Kitengo
JF-Expert Member
- May 19, 2021
- 316
- 905
Habari za wakati huu wana Jf,
Jamani kama miez miwili iliyopita nilikuwa nasumbuliwa na maumivu ya kichwa na macho kuvuta, misuli ya shingo kuuma nikaenda hospital nikaambiwa nina shida ya macho (Myopia) nikashauriwa tiba yake ni miwani.
Baada ya vipimo nikaambiwa natakiwa kuvaa miwani yenye lens power -0.25. Sasa baada ya kuanza kutumia miwani hali bado haijawa sawa pia nafanya kazi inayonihitaji kutumia computer na nikiwa natumia computer huku nimevaa miwani baada ya dakika chache huwa naanza kuhisi macho kuuma, kichwa kuuma mpk misuli ya shingo na mabega huwa inauma na huwa nahisi shingo kuchoka.
Issue nyingine pia kuna muda huwa nahisi kama misuli ya shingo, mabega , mikono na unyayo vinakuwa kama vinawaka moto.
Naombeni ushauri wa kitaalamu hapa issue inaweza kuwa ni nini na matibabu yake.