Msaada: Nashindwa kutoa malware kwenye laptop - Windows 7 Ultimate

Msaada: Nashindwa kutoa malware kwenye laptop - Windows 7 Ultimate

MwanaHaki

R I P
Joined
Oct 17, 2006
Posts
2,401
Reaction score
710
Wandugu

Nimevamiwa na malware aina ya Win64:Sirefif au kitu kama hicho. Mwingine ni Win32:Gen

Nashindwa kudownload chochote. Yaani browsers hazifanyi kazi. Kwa hiyo hata nikitaka kudownload MBAM au antimalware nyingine, inashindikana. Nilijaribu ku-run Avast Free kwenye Safe Mode, haikuweza kuwatoa hao wadudu wote!

Nisaidieni. Tumeni PM please.
 
If symptoms persist.... fanya kuchange windows
 
kwanini usi download ANTI MALWARE na updates zake kwenye usb flash halafu install kwenye machine yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom