M MWIGOLA Senior Member Joined Apr 21, 2012 Posts 173 Reaction score 52 Mar 26, 2015 #1 Wapendwa nina shida siwezi kupokea email. Yaani mtu akinitumia email hata nikijitumia haziingii ila email naimiliki kila kitu password natuma email. Ni email ya yahoo.com nina wiki sasa haziingii. Hata email za facebook. Naomba msaada nitashukuru
Wapendwa nina shida siwezi kupokea email. Yaani mtu akinitumia email hata nikijitumia haziingii ila email naimiliki kila kitu password natuma email. Ni email ya yahoo.com nina wiki sasa haziingii. Hata email za facebook. Naomba msaada nitashukuru