msaada nashindwa kuinstall whatsapp na jf

msaada nashindwa kuinstall whatsapp na jf

nganga jr

Member
Joined
Jul 7, 2017
Posts
69
Reaction score
40
msaada:simu yangu inqkataa kuinstall whatsapp natumia tecno h5
 
app zingine zinakubali kasoro jf app na whatsapp messenger
 
msaada:simu yangu inqkataa kuinstall whatsapp natumia tecno h5


HILI TATIZO LIPO, HATA KAMA WHATSAP ILIKUWEPO INAPOTEA NA UKITAKA KU REINSTALL NI SHIDA INAPOFIKIA KU VERIFY MOBILE NUMBER HAIKUBALI, MM SASA NI WIKI YA PILI IMETOWEKA, WAJUZI NAJUA MPO, MSAADA TAFADHALI
 
Hilo tatizo huwa linatokea hasa kwa hizo Tecno. Unakuta nyingine inashindwa kudownlord picha na video za watsapp au wakati mwingine huoni kitu mpaka u restart simu
 
Mkiambiwa Tecno sio simu ni kifaa cha mawasiliano mnakuwa wakali.

Nunua iPhone.
 
Restore simu tatizo litaondoka kbs lkn hakikisha umetoa line zako na memory card ili kinusuru vitu vyako visifutike make simu itarudi km siku uliyoitoa dukani.
 
Back
Top Bottom