Msaada: nashindwa ku upload picha kwasababu ya File extension Error

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Kompyuta yangu ni windows 7 professional. Mojawapo ya majukwaa ninyopendelea sana ni Jamii Photos. Inatokea nataka kuweka avatar ya mdau kwenye jamii photos. Ninachofanya ni kuisave hiyo avatar kwenye folder. Process hiyo inaenda vizuri: image inakuwa saved vizuri.

Tatizo linakuja sasa wakati ninadownload hiyo avatar kuiweka Jamii Photos. Kila nikifanya hivyo napata error ifuatayo: This JPEG image has the incorrect file extension

Error hiyo ikitokeza hakuna kinachoendelea process inaishia hapo.

Je ipo njia ya kutatua tatizo hili?

NB:Tatizo hili ni kwa avatar tu. Image nyingine hazina shida!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…