cute mimi22
Member
- Nov 13, 2016
- 46
- 19
kuna uzi uliochambua u model humu sijui nani aliuleta wakasema ushoga na umalaya huanzia huko!sijui kama vina ukweli!Habari wana jf mimi ni binti wa miaka 23 napenda kuwa model vigezo nnivyo mwenye kujua au anaeweza nisaidia ili niwe model please aje pm [emoji120] [emoji120] asante
Asante+255 719 921 919 Shaxyford .......mjarb huyu jamaa anafanya fashion na model mwambie Jane kakupa namba
Wafuhatilie hawa jamaa instagram @theinnovationhouse2014 watakusaidia. Its a big modeling agency Duniani wapo pia TzHabari wana jf,
Mimi ni binti wa miaka 23. Napenda kuwa model na vigezo ninavyo. Mwenye kujua au anaeweza nisaidia ili niwe model please aje pm [emoji120] [emoji120].
Asante.
AsanteWafuhatilie hawa jamaa instagram @theinnovationhouse2014 watakusaidia. Its a big modeling agency Duniani wapo pia Tz
Asante kwa ushauriChura unayo lakini?....ooh sorry you said you wanna be a model.Anyway jiamini usije ukatumika.
mara una miaka 21, mara 23 , uongo uongo hautakufikisha mahali mdogo wanguHabari wana jf,
Mimi ni binti wa miaka 23. Napenda kuwa model na vigezo ninavyo. Mwenye kujua au anaeweza nisaidia ili niwe model please aje pm [emoji120] [emoji120].
Asante.
Typing error my dia nna 22 sasamara una miaka 21, mara 23 , uongo uongo hautakufikisha mahali mdogo wangu