Msaada: Napenda kufahamu gharama za mama mjamzito akijifungua mpaka mtoto anakua

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Nashukuru wana JF walionipa mwongozo kuhusu gharama za kugharamia ujauzito vitu vya muhimu kufahamu.

Sasa leo hii ningependa kufahamu gharama halisi za mama mjamzito akijifungua kumuhudumia yeye na mtoto mpka anakuwa lakini pia gharama za kuendesha familia.
 
Mkuu mwenyew nalea mjamzito hapa gharama zpo hv
1. Clinic anavoenda hakikisha ana 20k ya huduma nje nauli, kwa serikali ni bure hzo gharama ila me nilimpeleka private apate huduma nzuri na care nzuri ila akienda kwa mara ya1 clinic hakikisha hukosi 100k sababu kuna vipimo vingi.

2.chakula hakikisha anakula vizuri kama unakaa nae ndo vzr itakusaidia usitoboke sana me binafsi nakaa nae huwa nahakikisha fridge mda wote inafoka mavyakula tu kama masamaki, nyama, mikuku, matunda vinywaji kama juice weka bajeti kumbuk mama mjamzito siku akiamka anataka viazi atakula siku nzima hawaelewek siku akiamka anataka pizza jiandae kutoboka weka 50k per week

3. Andaa bajeti ya usafiri kwa emergence bajaji/uber ndo usafir mzuri kwa mjamzito

4. Weka bajeti ya matumiz yake binafsi hapa tunatofsutiana uchumi wewe utaangalia

5. Kujifungua kwa kawaida private wengi wanarange 900k na surgery 1.5m inarange zinatofautiana, ila private wako kibiashara nakushauri siku ya kujifungua mpeleke government wangu me ntampeleka muhimbili.

NB: zingatia sana awe anakula kwa bidii, usimpende kumkera mama kijacho hakikisha muda wote anafuraha, asinywe madawa bila ushauri wa daktari la mwsho zingatia clinic na wewe uwe unaenda hii itasaidia kumsimamia vzr.

Hayo machache mengine waachie wengine wakupe.

Pia mfungulie account me huwa nahakikisha kwa week naingiza 100k kwenye account yake mpaka anakuja jifungua kutakua na kias kikubwa
 
Mzee uko vizuri kwa sisi wengine nadhani tusijishaue kuzalisha kwa sasa mpk mambo yakae sawa
 
Nashukuru wana JF walionipa mwongozo kuhusu gharama za kugharamia ujauzito vitu vya muhimu kufahamu.

Sasa leo hii ningependa kufahamu gharama halisi za mama mjamzito akijifungua kumuhudumia yeye na mtoto mpka anakuwa lakini pia gharama za kuendesha familia.
Muulize Mama yako
 
Back
Top Bottom