pascal luoga
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 238
- 271
Habari wakuu, poleni na majukumu ya asubuh hii...
Dhumuni ni kwamba leo ni siku ya pili napata kikohozi chenye damu...
-Sikohoi
-sina mafua
-sipati shida kwenye upumuaji
-sina homa yoyote
Ila tu wakati nikiwa naforce kuvuta kikohozi ambacho kimenasa( kama mtu aliye na mafua) kikohozi kinakuja na damu..
Kama kuna mwenye experience na alishawai kukutana na hii anipe mwongozo maana napata wasiwasi nahitaji baadae nikamwone daktari..
Nawatakia siku njema wana j.f
Ni uvutaji wa kawaida na ambavyo navuta siku zote sio kwamba navuta kwa kujitutumua hapana ni kama mtu ambaye kikohozi kimenasa ima the way vile una mafua sasa unataka uyavute kwa ndani kwenye koo yatokee kwa njia ya kinywa, ni uvutaji wa kawaida wa miaka yote ila tu siku mbili hizi tangu jana ndo imeanza hii shida.Kwa jinsi ulivyojieleza, nadhani inatokana na wewe kuvuta kwa nguvu hayo mafua una erode/kuondoa utando laini wa njia ya hewa na kusababisha microvascular bleeding. Ndo maana unaona hiyo damu.
Ingawa kujua kiasi cha damu kama ni kingi kwa kiasi gani au kidogo, au fresh au imeganda ni muhimu pia.
Ila, kufika hospitali na kusikilizwa na kufanya uchunguzi pale itakapobidi ili kuhakiki kila kitu kiko sawa ni muhimu.
Ni uvutaji wa kawaida na ambavyo navuta siku zote sio kwamba navuta kwa kujitutumua hapana ni kama mtu ambaye kikohozi kimenasa ima the way vile una mafua sasa unataka uyavute kwa ndani kwenye koo yatokee kwa njia ya kinywa, ni uvutaji wa kawaida wa miaka yote ila tu siku mbili hizi tangu jana ndo imeanza hii shida
Sawa mkuuYap, inategemea. Haya yote ni subjective, pia huweza kutokea kwa watu waliopita eneo la vumbi. Fika hospitali kwa assurance zaidi.
Hapo kidogo umenena.Sometimes vidonda vya tumbo huleta hiyo hali. Chunguza na choo, ni cheusi?