Ukifanikiwa kusoma kitabu cha Erick Shigongo huna haja ya kusoma hivyo vingine vyote, ni kitabu kizuri na kinaendana ma mazingira yetu ya kibongo" Ten proven secret from poverty to success " niwe mkweli tu kitabu hiki kimenitoa kimaisha! Nilikua sijui mambo mengi ktk ujasiriamali lkn baada ya kusoma hiki kitabu nimeweza kutoboa ingawa kwa uchache!
NB: kitafute kitabu hiki na ukisome chote, ikiwezekana rudia rudia kukisoma!