Msaada naombeni mpitie hapa.

adna yuzo

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
1,038
2,000
habari wanajamvi!

mimi ni mwanafunzi niliemaliza kidato cha sita mwaka huu 2016.nimechaguliwa chuo DAR ila sijafanikiwa kwenda coz nimekosa ada.

mbali kukosa ada mwaka huu but mwakani nataka kusoma but chuo tofauti na nilichopangiwa pia kozi tofauti je vitu gani itabidi nifanye ili mwakan nichague tena upya??msaada pleaz
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom