Msaada: Naombeni mbinu za kukataa mimba

Uskatae mimba Mzee, we kubali ila waambie kwa sasa ata wewe mwenyewe uwezi kujihudumia ukifika muda utachukua familia yako.......!
 
Uskatae mimba Mzee, we kubali ila waambie kwa sasa ata wewe mwenyewe uwezi kujihudumia ukifika muda utachukua familia yako.......!
Asante Sana
 
Hata ivo mkishatoa mimba iyo..haijalishi mnamipango gani ya baadae.......mtaachana tu utake usitake.
 
Uskatae mimba Mzee, we kubali ila waambie kwa sasa ata wewe mwenyewe uwezi kujihudumia ukifika muda utachukua familia yako.......!
Nan amlelee hiyo familia yake hadi pale. Yy achukue bana akapambane na sayar ya3
 
Hayo ndiyo madhara ya kupenda zinaa na ngono zembe, kamwe usije kujaribu kuua kichanga wala kuikana mimba, unategemea mwanao atalelewa na nani,?
We mtoto wa kiume kama huna kazi anza kupambana kuhakikisha mkeo na mwanao utawatunza vizuri na ufunge ndoa na mkeo, acha masihara kijana....,
 
ungetumia kondom hii hali isingekutokea brother""" Ulipenda kuloweka hivyo jiandae kulea
 
Mbinu nzuri mi kukataa kutoa uchi wako kwa mwanaume yeyote
 
Naona una vibe kama lote hivi mkuu
 
Mkuu kubali tuu, ndio utapata akili ya kutafuta maisha. Mimi ilinitokea nikakubali japo nilitaka aitoe ila nikaamuwa kulikabili Sasa nalea mtoto wangu. Mama ake nimempa mtaji ana lisongesha life. Kuwa Mwanaume nikupambana na Changamoto Mkuu.
 
Vuna ulichopanda ulivyokua unamwaga hukujua nini kitakachofuata??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…