Msaada: Naomba wazo la biashara

usaifa

New Member
Aug 8, 2022
3
1
Msaada wenu waungwana, nahitaji wazo la biashara yoyote/kitu chochote kitakacho nikiingizia faida kuanzia Tsh. 10,000/= na kuendelea.nikiwa na mtaji wa 1.5m
 
Hiyo biashara ulipanga ufanyie maeneo gani kwanza kabla sijakushauri chochote?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom