Msaada: Naomba ushauri juu ya hizi course

Mimi nimesoma PCB na nikapata 1ya 9, 2021

Physics D chemistry B na biology C
Bam E Gs D

Naweza nikapata koziipi kirahisi Kati ya hizi na chuo gani?

  • MD
  • Pharmacy
  • Doctor of dental surgery
  • MBLS
Hivi mpaka leo haujui unataka kuwa Nani? Na umepata div one,dah

Nikushauri kitu,hata ukisoma Kati ya kozi tajwa hapo juu,hutaweza toboa....,

Unaonekana Kuna kitu ndio passion yako,ila unaenda kusomea kozi tajwa hapo juu ili uwe flani
 
Huwenda akawa hana exposure kama unavyofikiria.

Hivyo ungeenda nae taratibu kama unaona unakitu bora zaidi cha kumshauri.

Kupata div1 sio kama anajua kila kitu katika maisha.
 
-MD kwa point zako huwezi pata muhas udom na Muchas ila vyuo vya private fresh unapata
-Pharmacy kuna uwezekano mdogo sana wa kupata muhas ila private unapata
-Dentist IPO muhas tuu na hauwez pata kwa point hizo
-But BMLS unaweza pata muhas na vyuo vingine
Note;haya yote yana depend na competition(ufaulu)wa mwaka huu
Mimi nimesoma PCB na nikapata 1ya 9, 2021

Physics D chemistry B na biology C
Bam E Gs D

Naweza nikapata koziipi kirahisi Kati ya hizi na chuo gani?

  • MD
  • Pharmacy
  • Doctor of dental surgery
  • MBLS
 
Hivi mpaka leo haujui unataka kuwa Nani? Na umepata div one,dah

Nikushauri kitu,hata ukisoma Kati ya kozi tajwa hapo juu,hutaweza toboa....,

Unaonekana Kuna kitu ndio passion yako,ila unaenda kusomea kozi tajwa hapo juu ili uwe flani
No. . Passion yangu ni kua MD.. lakini kwasababu ya kushindwa kukidhi kiushindani ndomana ya kuuliza
 
-MD kwa point zako huwezi pata muhas udom na Muchas ila vyuo vya private fresh unapata
-Pharmacy kuna uwezekano mdogo sana wa kupata muhas ila private unapata
-Dentist IPO muhas tuu na hauwez pata kwa point hizo
-But BMLS unaweza pata muhas na vyuo vingine
Note;haya yote yana depend na competition(ufaulu)wa mwaka huu
Okeeeee... Apo sawaa, skuisoma ii
 
Back
Top Bottom