Msaada: Naomba muongozo wa Interview TRA

Duh! Elimu yetu hii kweli kiboko. Yani unataka uki-google uone kabisa mahali pameandikwa uhusiano kati ya Corona na Tax Offer? Hahahaaa...
Kazi kweli kweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Happy
 
Kati yangu mimi na wewe ni nani aliyekalili? Maana mimi nasema sio mara zote utumishi wanarely kwenye manotes ya darasani nikimaanisha raia wasikomae sana na notes tu pia wafatilie na mambo ya dvt programs mbalimbali znazoihusu nchi. Wewe unasema baada ya ile pepa huwa wanatoa mambo ya class tu. (uko ndo kukalili sasa)

Pia NBAA sio babalao sababu ingekua ivyo TRA ingetaka staff wake wawe certified na NBAA lakini staff wa TRA uwa wanapelekwa training ITA na sio NBAA.
 
Samahani kidogo kama ntakua harsh lakin kitendo cha kua umemaliza masomo na unataka ajira then unaomba possible questions sidhani kama ni vizuri
Mmh! wewe hujitambuwi.
Dah! haya Ma Act kitu cha VAT, INCOME, EACCM, FINANCE Nimezipitia mpaka kichwa kinauma hivyo nalala leo mapemaaa
Kesho kitaeleweka tu pale YOMBO 5 UDSM.
Wadau wenanzangu nawatakia mtihan mwema..
 
Mmh! wewe hujitambuwi.
Dah! haya Ma Act kitu cha VAT, INCOME, EACCM, FINANCE Nimezipitia mpaka kichwa kinauma hivyo nalala leo mapemaaa
Kesho kitaeleweka tu pale YOMBO 5 UDSM.
Wadau wenanzangu nawatakia mtihan mwema..
Nawe pia mtihani mwema, tutakutana kujipima, maana sio kwa umati huu! Duuuh Mungu tusaidie kwa kweli
 
Kwa wale wadogo zangu ambao kesho mnapepa la TRA HAKIKISHA unasoma yafuatayo

1. Corona impact kwenye revenue
2. Njia zinatumika katika kukwepa kodi
3. Kodi ambazo ni rahisi ku collect na aina ya kodi ambayo ni rahis ku evade
4. Soma VAT hasa kwenye requirements zake, importance na ujue bidhaa ambazo ni exempted kwenye VAT ( bidhaa zilizosamehewa kwenye Vat)
5. Zijue aina za Efd machine, soma features za legal receipt and illegal ujue zinakuaje
6. Mtangulize mungu.

All da best
 
Mmh! wewe hujitambuwi.
Dah! haya Ma Act kitu cha VAT, INCOME, EACCM, FINANCE Nimezipitia mpaka kichwa kinauma hivyo nalala leo mapemaaa
Kesho kitaeleweka tu pale YOMBO 5 UDSM.
Wadau wenanzangu nawatakia mtihan mwema..

Acts waachie legal officers , vat inapatiakana kwenye Tax administration act S.90
 
hivi utumishi hua wanashortlist mara 2[emoji848] inakuaje majina yanaongezwa siku moja kabla ya usaili,hao walioongezwa wanafaham na walijiandaa[emoji848] kama walikua wanafahamu majina yao yatatoka ni nani aliwajulisha[emoji848] namba zao za mitihani hatuna ila majina tumeshayadownload
 
Hivi number za mtihani ni zipi maana sielewi elewi,
Halafu ukumbia wa Mwl nyerere uko sehemu gani?
 
Hivi number za mtihani ni zipi maana sielewi elewi,
Halafu ukumbia wa Mwl nyerere uko sehemu gani?
namba ya mtihani angalia kwenye account yako uliyoombea kazi utaikuta,mwalimu nyerere ni kigamboni
 
Hii possible yako imetoka leo kwenye custom officer ll..
 
haswaaa .. maana unakuta mtu amesha kaa mdamrefu mtaani huku akiwa anapambana na maisha yake kwa njia tofauti na kusoma , ni lazima asahau mamboo mengi na hapo unakuta amesha gawa material yake yote ,,, so kwenye akili yake imejaa nyanya ,vitunguu, karoti, bamia. na mengineyo nkimaanisha watu wanajitahidi kujaribu biashara za kufanya so akili inakuwa imejaa biashara hatakama haimtoi kimaisha. so kama umepata neema ya kumaliza chuo alafu ukakutana na watu kama hao ,, ni vyema kuwasaidia kwani hata wewe utabarikiwa na mungu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…