U
Subiri kwanza usote ndiyo utajua umuhimu wa possible ,,
Hivi kwa akili yako unazani mtu aliyemaliza 2014 mpaka leo anaweza akawa anakumbuka Taxation yote? Na hata akianza kusoma unazani anaweza akaimaliza ndani ya mda mchache? Ndiyo maana mtu anaomba possible ili asije poteza mda mwingi kusoma vitu vingi
Wewe etyJina la mtoa comment linasanifu jinsi alivyo
Mkodie boda kwa siku hiyo,, ikishindikana afanye tuu customKuna mdogo wangu hapa anasikitika kaitwa tax management udsm na custom mwalimu nyerere, mi nimemsahauli achague moja afanye maana kwa umbali huo mmmh
Asante mkuu, ntamkodia boda boda akafanyeMkodie boda kwa siku hiyo,, ikishindikana afanye tuu custom
Samahani kidogo kama ntakua harsh lakin kitendo cha kua umemaliza masomo na unataka ajira then unaomba possible questions sidhani kama ni vizuri
Angalia vizur wanaofanya custom wapo waliopangiwa Mwalimu NyerereUnachanganya madesa Tax na customs hazifanyiki chuo cha mwalimu nyerere ni DUCE na ACCOUNTS ni UDSM mdogo wako kakuingiza chaka pepa za tax na customs ni Duce saa 3 asubui tena muda n mmoja ivyo lazima watu wachague pepa moja na account inafanyika udsm saa tano asubuhi kutoka Duce kwenda Udsm kwa boda unaweza kuchajiwa elfu 15000 ivyo unamaliza tax au customs saa tano unatakiwa huwai udsm kupiga tena accounts
Okay nimeonaAngalia vizur wanaofanya custom wapo waliopangiwa mwalimu nyerere
Sawa sawaOkay nimeona
Haswaa apitie hapa maswali yote yatatoka hapa kwa written na oral.Ukipitia mzigo huu haukosi kitu hawa ndio wenye mtihan au wenye mtihan wamepitia huku View attachment 1493991
Yeah mko pamoja na mdogo wangu hapo cha kufanya uwahi kuingia kufanya mtihani baada ya hapo chomoka fasta, uandae boda boda unaweza kuwahiMimi pia nimepangiwa customs Officer-DUCE na tax officer-UDSM...nakuna kichwa hapa sijui itakuwaje
Naomba unitumie hiiUkipitia mzigo huu haukosi kitu hawa ndio wenye mtihan au wenye mtihan wamepitia huku View attachment 1493991
Mkuu sio kweli, ingekua ni ivyo bas pepa ingetoka Institute of Tax Adminstration (ITA) na sio NBAA. Kuna time utumishi hawatoagi vitu vya class mfano ni ile pepa waliyouliza habar za makinikia na development programs i.e AGOA n millenium development goals.Naomba unitumie hii
Dah! kila nikigoogle naona hakuna correlation baina ya Coron na Tax officer
Samahani kidogo kama ntakua harsh lakin kitendo cha kua umemaliza masomo na unataka ajira then unaomba possible questions sidhani kama ni vizuri
Ni kweli hata mimi niliuona huo mtihani ,ila sometimes hawaeleweki wanaweza kuchanganya pia ,vilevile ukifanikiwa kwenda oral kule ni maswali ya customs tu kwaio ni vizuri kupitiaMkuu sio kweli, ingekua ni ivyo bas pepa ingetoka Institute of Tax Adminstration (ITA) na sio NBAA. Kuna time utumishi hawatoagi vitu vya class mfano ni ile pepa waliyouliza habar za makinikia na development programs i.e AGOA n millenium development goals.
NB
Ni vizuri kupitia notes upate idea ya vitu vingi
Mjomba usikalili toka ilo pepa lililopigwa kikanda lipite TRA wameishaita tena kama mara mbili na maswali yote wanauliza notes za Tax na customs za darasan mfano kwenye customs waliuliza bill of exchange, bill of landing , ili utoe mizigo bandarin zinaitajika document gani muhimu, wharf ni nn , Hao ITA baba lao ni NBAA mkuu mwisho current issue pia muhimu kupitiaMkuu sio kweli, ingekua ni ivyo bas pepa ingetoka Institute of Tax Adminstration (ITA) na sio NBAA. Kuna time utumishi hawatoagi vitu vya class mfano ni ile pepa waliyouliza habar za makinikia na development programs i.e AGOA n millenium development goals.
NB
Ni vizuri kupitia notes upate idea ya vitu vingi
ni kweli hata mimi niliuona huo mtihani ,ila sometimes hawaeleweki wanaweza kuchanganya pia ,vilevile ukifanikiwa kwenda oral kule ni maswali ya customs tu kwaio ni vizuri kupitia
Hio pdf inamambo yote ya taxation na customs ndicho anachomanisha hata hao ITA na uhakika walimu hua wanatumia hizo notes za NBAA wengi wao wamepitia huko