Msaada:Naomba msaada wa vitabu vifuatavyo

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Oct 19, 2014
5,528
6,085
Habari Zenu Waungwana!
Naomba Msaada wa vitabu vya Napoleon Hill,isipokuwa vifuatavyo Think And Grow Rich,Succes Through Positive Thinking,na Outwitting The Devil,hivi ninavyo,pia naomba Before You Quit Your Job ya Robert Kiyosaki.
Natanguliza Shukrani,na samahanini kwa usumbufu
 
Attachments

  • Success-Through-Positive-Attitude.pdf_Success-Through-Positive-Attitude.pdf
    4.4 MB · Views: 30
Habari Zenu Waungwana!
Naomba Msaada wa vitabu vya Napoleon Hill,isipokuwa vifuatavyo Think And Grow Rich,Succes Through Positive Thinking,na Outwitting The Devil,hivi ninavyo,pia naomba Before You Quit Your Job ya Robert Kiyosaki.
Natanguliza Shukrani,na samahanini kwa usumbufu

FATA HIYO LINK HAPO CHINI ITAKUPELEKA KWENYE MEDIA ZENN HUKO UTAJIREJISTA FREE UTASOMA VITABU UWEZO WAKO.

KWENYE HIKO KIBOX CHA "CONTINUE" CLICK HIYO LINK YA CHINI INAYOSEMA "CLICK HERE TO CONTINUE FOR FREE"

Black Box Thinking by Matthew Syed(Ebook)

ILA NA-RECOMMEND USOME HIKI KITABU NIMEKITALIZA JUZI TU FANTASTIC BOOK BY MATTHEW SYED (BLACK BOX THINKING:THE SURPRISING TRUTH ABOUT SUCCESS)

GOOD LUCK AND ALL THE BEST, KEEP READING
 
AHSANTE SANA MKUU KWA KUNIFUNDISHA KUVUA SAMAKI
 
ILA MKUU NIKUTAHADHARISHE MIMI SIJAWAHI KUSOMA VITABU FREE HUKO ONLINE HUWA NANUNUA SO BE CAREFULLY AND USE YOUR SENSES​
 
hahah nimejiongeza maana wanataka hadi card details,ni kawaida ila sijajua how secure is the site,nilitaka kujaza nimeghairi! usijali mkuu you have played your role hata hvo nashukuru bado
 
AHSANTE SANA MKUU KWA KUNIFUNDISHA KUVUA SAMAKI

KINGINE MKUU VERY IMPORTANT DISABLE YOUR COOKIES SABABU WAKISHAJUA NI AINA GANI YA VITABU UNAPENDA WATAWEKA KUKUWEKEA MIZENGWE ILI UTOE CHOCHOTE KITU​
 
hahah nimejiongeza maana wanataka hadi card details,ni kawaida ila sijajua how secure is the site,nilitaka kujaza nimeghairi! usijali mkuu you have played your role hata hvo nashukuru bado

ILA CREDIT CARD NI SAFE IKO SECURED MKUU USIOGOPE​
 
KINGINE MKUU VERY IMPORTANT DISABLE YOUR COOKIES SABABU WAKISHAJUA NI AINA GANI YA VITABU UNAPENDA WATAWEKA KUKUWEKEA MIZENGWE ILI UTOE CHOCHOTE KITU​
Yaa ni kweli ndio maana naonaga bora kuomba humu kwa wenye navyo au kununua hard copy,site mbali na Amazon inakuaga ngumu kidogo kuiamini kwenye kununua vitu na kadi nnayotumia huwa sitakag iwe na amount yoyote
 
Back
Top Bottom