Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
1.Memorandum & Article of Association
Hyo private co. ni limited,ulimited au sole etc
Unataka uandikiwe au mtu akutumie mfano?
Nataka kuandikiwa.
uwe tayari kutoa msaada haya ni maisha na tunapita dunianiUna shng ngapi?Ni pm nkupe no yangu na email ila andaa kash ya maana kwanza sifanyi kazi ya kanisa
Wewe ingia Google tu...huna haja ya kutumia hao "wasomi". Utaliwa hela zako bure tu.
piga 0784 422 249 nitakuelekezaNimejaribu kwenda google lakini nimeshindwa kuelewa mkuu ndio maana nimekuja hapa kuomba msaada wenu
Naombeni msaada wenu wanasheria. Ninaomba msaada wa mwanasheria yoyote ambaye ataweza kunisaidia katika kuandika Memorandum and The articles of Association kwa ajili ya registration ya Private company. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa yeyote ambaye atajitokeza kunisaidia karika hili.
My contacts:
Mobile: +255789884221
E-mail: meezy@youngmaster.co.tz
piga 0784 422 249 nitakuelekeza
Nimejaribu kwenda google lakini nimeshindwa kuelewa mkuu ndio maana nimekuja hapa kuomba msaada wenu
kaz za ksheria hazfanyk bure ndg! Afteral wewe unaenda ktengeneza hela kwa nn wenzio wakfanyie bure? Shule yenyewe ya sheria ilvyo ngumu vle ntoe msaada bure dah! Chezea k2 Mgongo fimbo na Majamba.
Haya bwana, nashukuru.
Hivi ni kwamba unataka ufanyiwe bure?
waksema legal aid(msaada wa ksheria) hawamansh free of charge..ni kosa la kimaadl ktoa msaada wa ksheria bure..labda uende TAWLA au NORA au pale UDSM school of law..muulze Tairo, huko ndo wanatoa bure kwa wasiojiweza.Kwani nini maana ya kuomba msaada?
waksema legal aid(msaada wa ksheria) hawamansh free of charge..ni kosa la kimaadl ktoa msaada wa ksheria bure..labda uende TAWLA au NORA au pale UDSM school of law..muulze Tairo, huko ndo wanatoa bure kwa wasiojiweza.
Kwani nini maana ya kuomba msaada?
Hili ndo tatizo la watanzania unamuuliza swali badala ajibu na yeye anakuuliza swali.