Wakuu shida yangu ni kujua tu jinsi gani ninaeza kutoa sim lock..hasa hizi simu za tigo..Kila siku naona ikifika wakat mtu inabid atoe lock ya network basi anapewa jibu aende k.koo au awaone watu fulani humu jf.
Je haiwezekan tukapeana jinsi gan tunaeez tuka unlock wenyew bila kwenda kwa hao watu? kama jinsi watu wanavyo walekeza wengne jinsi ya kuflash simu basi naomba iwe hata kweny kutoa lock.
Kikubwa naomba kujuzwa jeh ninaweza kutoa sim lock nikiwa nyumban kwangu?
kama ndio jeh nitahitaji nini ili niweze kufanya hiyo kazi.
If possible naomba process nzima ya kutoa sim lock.
Nawasilisha.