Msaada: Naomba kujuzwa program ya kulock folder kwenye computer

Jaribu hilo hapo chini, lakini ukiwa una liinstal hakikisha umezima network kusiwe na internet.
 
Tumia Winrar wakati una Zip file au Folder unaenda adavanced na kuweka possword. Itakudai password kila wakati unapotaka kulifungua au kuExtract.
Hii ni much better kama hujali kuzip na ku unzip,

Njia za kawaida za kufunga mafolder ni encryption wengi Wanaingia kichwa kichwa siku akitoa ile programs anakosa data zote, sometime hata ukirudisha tena program key Inakuwa imepotea na program haijui kuyafungua mafolder.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…