Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,729
- 8,807
Salaam wataalam,
Naombeni msaada mnijuze Dawa nzuri ya kutibu malaria
Siku za hivi karibuni nimekua naugua ugua malaria Mara kwa Mara
Tangu udogoni Dawa yangu ilikua Meltakefin but nowadays imeshindwa kunitibu vizuri
Nikahamia kwenye mseto hiyo nikaona inanisaidia but tatizo ni kwamba nikipona baada ya muda malaria inarudi tena.
Kila nikipimwa nakutwa na malaria 3 na siku hizi dalili kubwa inayonikuta ni kuumwa na kichwa tu hasa upande wa mbele.
Msaada please.