Joseph Chiwango
Member
- Aug 12, 2013
- 24
- 5
Jamani samahani naomba mtu anayejua gharama za kusoma udereva veta na mda anisaidie.
Basic driving - Tzs. 227,000/=Jamani samahani naomba mtu anayejua gharama za kusoma udereva veta na mda anisaidie.
Iyo basic lesen unapewaBasic driving - Tzs. 227,000/=
Hapana hapo ni ya mafunzo tu utakuwa umefanya na mchakato wa leseni ya leaner. ukishakamalisha mafunzo ndo utaanza mchakato wa kukata leseni kamili,na kwenye driving schools nyingi huwa wanasaidia kusimamia mchakato kwa gharama walizoziweka.Iyo basic lesen unapewa
MKUU VIPI ULIKAMILISHA?Jamani samahani naomba mtu anayejua gharama za kusoma udereva veta na mda anisaidie.