Wakuu, sie wa dunia ya tatu maisha bila kucrack softwares yanakuwa magumu sana. Mwenye keys na codes au namna ya kucrack ESET NOD32 Antivirus Version 12 atusaidie jamani, naamini tutapona wengi hapa.
Au kama sio ESET basi hata jina la Antivirus yoyote inayoaminika na keys zake