MSAADA:Naomba Frequency za Sattelite Dish kwa Mbeya.

MSAADA:Naomba Frequency za Sattelite Dish kwa Mbeya.

Ushindi Daima

Member
Joined
May 4, 2013
Posts
92
Reaction score
27
Hello wanajamvi naomba msaada kwa anayefahamu Frequency za Sattelite Dish likiwa kwenye mtindo kama beseni.
Ukubwa wa Dish ni 6x6 na nipo maeneo ya Old Forest-BOT.
Nina Zuku na Startimes bt namiss sana Movie za Kihindi na nyinginezo.
Dish lina LnB 2 pamoja na KU 2.
 
kwa jinsi ulvyoandika. Nadhani hata ukipewe Frequency huwezi kufunga hilo dish.
 
Mbona Mbeya mafundi wengi tu.
Nenda pale M'njelwa stand ya Tukuyu kwenye Duka la Pangamawe kuna mafundi.
Pia pande hizo kuna dogo Figumbo.
Njoo PM!
 
arabsat at 5c 20.00 freq 3720H6660 3884H27500 3934V27500 4054V27500 Hii ni mpeg4 3964V30000 wakati unaangalia hizi chanel ni vizuri uwe na Gahawa pembeni
 
Back
Top Bottom