Msaada, nani wa kunisaidia programu hii

bic2kn

Member
Joined
Feb 18, 2017
Posts
76
Reaction score
22
Nani anisaidie programu ambayo inaweza kuonyesha taarifa ya simu kuanzia inawekewa line kwa mara ya kwanza na idadi ya chip zilizoingia kwenye hyo simu!!
 
Unamaanisha hata chip zilizowekwa kabla ya kuinstall hiyo program? Hakuna kitu kama hicho, simu hairekodi hizo taarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…