Man, unaficha hadi % ya charge?View attachment 1732602kila la heri natumia P30 pia, ila ni version mpya yenye playstore, Actually wali ire-release hii version ili kubypass Ban ya Google,
Soma
Huawei has found a way to bypass the 'Google ban' imposed by the US government by relaunching refreshed editions of smartphones originally manufactured before the restrictions came into force.
Supported by Android 10 and shipping with the Google Play Store, Huawei is launching a 'P30 Pro New Edition' next month in addition to an already released 'P30 Lite New Edition' device
Unaweza weka playstore lakini wanawindana, unaweza weka Leo baada Ya miezi kadhaa njia inafungiwa then inatafutwa nyengine etc.Nimekuwa mtumiaji wa bidhaa za HUAWEI kwa miaka mingi, Lastly nlikuwa natumia P30 kabla ya kuhamia Samsung, Sasa kama mjuavyo bidhaa Mpya za Huawei hazina tena Google PLAY STORE.
KWA UFUPI natamani kufaham kama kuna uwezekano wa kuweka Play Store kwenye hizi Huawei ambazo hazina hii Huduma?
Na je, gharama zake Zikoje
Cc: Chief Mkwawa
Mr Mobile
HALAFU INA RUN KMA KAWAIDA..?Download playstore uiweke kama program ya kawaida
Tumia link hapo chini
Ndiyo system ni Andoid itarun, ila tafuta na Google play service iwepoHALAFU INA RUN KMA KAWAIDA..?
GOOGLE PLAY SERVICE NAYO NA DOWNLOAD KMA APK?🙂Ndiyo system ni Andoid itarun, ila tafuta na Google play service iwepo
Ndiyo fanya hivyo, link hiyo hapoGOOGLE PLAY SERVICE NAYO NA DOWNLOAD KMA APK?🙂