Msaada namna ya kuweka outlook to my laptop

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Wakuu msaada wa mawazo jamani naomba mnielekeze namna ya kuweka outlook kwenye laptop yangu
 
Outlook inakuja na MS Office siku hizi so inabidi ununue office, Ile outlook express ambayo ilikuwa bure haitengenezwi tena, imekuwa replaced na Windows Live Mail download hiyo ni nzuri sana Windows Live Mail 2011
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom