Nina tatizo la kushindwa ku upload picha ninapopost taarifa jamvini. Natumia simu kupata huduma ya internet. Naomba mwenye ujuzi wa jambo hili anisaidie tafadhari.