Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,139
Sawa kiongozTusubiri
Inapatikana playstore? Je vitu vyangu hata nikipoteza simu naweza kuvipata? Vitabu, picha etc.Tumia dropbox
Yap kwa dropbox unaweza kufanyia kazi Files zako ofisini halafu unasave na kuiacha computer ofisini na ukifika nyumbani au kwingineko unalogin na kuendelea kufanyia kazi the same files....Inapatikana playstore? Je vitu vyangu hata nikipoteza simu naweza kuvipata? Vitabu, picha etc.
Asante sana kiongoz, nimeona ata ukirudia kuattach the same file labda kwa bahat mbaya inakuuliza kwanza tofaut na Google drive.Yap kwa dropbox unaweza kufanyia kazi Files zako ofisini halafu unasave na kuiacha computer ofisini na ukifika nyumbani au kwingineko unalogin na kuendelea kufanyia kazi the same files....
Asante sana mkuu, nilikuwa naijua hyo ya kwanza tu ingawa nayo nimeiona kama iko complicated sana, shukran kiongozi.Google drive
Drop box
Mega box
Icloud for apple
Shukran mkuu, iko playstore?Tumia onedrive
Wameshakuja mkuu, im almost satisfied, naamini na ww umepata mwongozo[emoji1]Ngoja waje kukupa muongozo...
Duh mbona mm kwangu Google drive fresh kabisa na google docs.Habari wakuu, naomba kuelekezwa njia nyingine ya kusave documents, picha, vitabu etc ukiachana na Google drive au kwenye email, Google drive nilikuwa naitumia mara kadhaa bt naona kama iko complicated sana now days, ukiattch kitu sometimes kinaload tu mda mwingi bila kujisave.
Sijajua mkuu, mm sometimes nikiattach docs inaload tu bila mafanikio.Duh mbona mm kwangu Google drive fresh kabisa na google docs.
Uwa unaziatatch via browser au unatumia app ya simu mkuuSijajua mkuu, mm sometimes nikiattach docs inaload tu bila mafanikio.
Pia ikitokea ukarudia baadhi ya docs huwa inaipokea na kuisave moja kwa moja bt nimeona hii dropbox lazima ikuulize.Duh mbona mm kwangu Google drive fresh kabisa na google docs.
Mimi mbona nikiweka docs zenye jina sawa na zilizomo uwa inauliza izisave kama doc mpya au ireplace za zamani....Pia ikitokea ukarudia baadhi ya docs huwa inaipokea na kuisave moja kwa moja bt nimeona hii dropbox lazima ikuulize.