Msaada: Namna ya kutumia hii application "Wifi-map and password"

STUKA M1

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,773
Reaction score
7,368
Habari wakuu..
Kuna hii app ya WiFi map, naisikia sana inazungumziwa humu. Hivyo naomba maelezo zaidi ili niweze kutumia
Maana nimejaribu kudownload play store naona chenga tu.
So wale woote wanaotumia hii app msaada unahitajika na kama una link ya kuweza kudwnload naomba uniwekee hapa, Ni jinsi gani inatumika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…